Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, July 17, 2012

KIPINDI CHA CHEREKO CHEREKO KUONEKANA TENA KATIKA LUNINGA YA TBC 1


 Hapa ndipo kipindi cha Chereko Chereko kinapotayarishwa katika Studio ya kisasa ya 2BONDO's PRODUCTIONS.
  Mtangazaji wa kipindi cha Chereko Chereko, Angella Gloria Bondo akiwa amepozi kwa picha na mgeni wake, Shabani Mbegu ambaye alifika katika Studio hizo kwa ajili ya kuandaa kipindi cha Chereko Chereko kitakachorushwa hewani siku ya jumapili tarahe 22-7-2012 kuanzia saa moja kamili jioni mpaka 7: 45 katika kituo cha Televisheni cha TBC. Kipindi hiki kitaanza kuonekana tena baada ya kusimama kwa kipindi cha mwaka mmoja na sasa kimerudi tena katika muonekano mpya baada ya kuboreshwa.
Mtangazaji wa kipindi cha Chereko Chereko, Angella Gloria Bondo akiwa katika mahojiano na mgeni wake Bwana Harusi, Shabani Mbegu katika Studio za 2BONDO's PRODUCTIONS.

No comments :

Post a Comment