Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Tuesday, July 17, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA SEMINA ELEKEZI YA MASHEIKH WA BARAZA KUU LA WAISLAMU TANZANIA (BAKWATA)MJINI DODOMA




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake ya kufungua rasmi semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma leo, Julai 15, 2012. Katikati ni Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba.
 :- Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba, baada ya kufungua rasmi semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma leo, Julai 15, 2012
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akijumuika kuomba dua iliyoombwa na Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa Bin Shaaban Simba (katikati) baada ya kuwasili kwa ajili ya kufungua rasmi semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma leo, Julai 15, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya waumini na viongozi wa Jumuiya za Kiislamu wakati akiondoka, baada ya kufungua rasmi semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma leo, Julai 15, 2012.
 Baadhi ya Viongozi wa Jumuiya za Kiislamu na waumini wa Dini hiyo, waliohudhuria semina elekezi ya Masheikh wa Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) iliyofunguliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Veta mjini Dodoma leo, Julai 15, 2012

No comments :

Post a Comment