Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, July 12, 2012

MAMLAKA YA ELIMU TANZANIA (TEA) KUZINDUA KAMPENI YA UJENZI WA HOSTELI KWA WANAFUNZI WA WA KIKE WA SHULE ZA SEKONDARI.




 Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Esther Abayo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusu uzinduzi wa kampeni maalum kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike katika Shule za Sekondari nchini utakaofanyika tarehe 14 Julai Kibaigwa mkoani Dodoma. Kushoto ni Meneja Habari Elimu na Mawasiliano, Sylvia Lupembe. 
 Meneja Habari Elimu na Mawasiliano wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Sylvia Lupembe akifafanua jambo kuhusu uzinduzi wa kampeni maalum kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike katika Shule za Sekondari nchini utakaofanyika tarehe 14 Julai Kibaigwa mkoani Dodoma. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Esther Abayo na Mkurugenzi wa Uhamasishaji Rasilimali Watu, Seif Mohamed.
 
Mkurugenzi wa Uhamasishaji Rasilimali Watu, Seif Mohamed akifafanua jambo kuhusu  uzinduzi wa kampeni maalum kwa ajili ya ujenzi wa hosteli za wanafunzi wa kike katika Shule za Sekondari nchini utakaofanyika tarehe 14 Julai Kibaigwa mkoani Dodoma. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA), Esther Abayo

No comments :

Post a Comment