Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, July 19, 2012

MUENDELEZO WA MATUKIO YA AJALI YA BOTI YA SEAGULL KATIKA PICHA



 Baadhi ya abiria waliokuwa katika Boti hiyo iliyozama jana katika eneo la Kisiwa cha Chumbe, wakiwa juu ya mgongo wa Boti hiyo wakisubiri kuokolewa, wakati boti hiyo ikizama.
 Baadhi ya abiria wakiwa katika Chombo cha kuokolea baada ya kuokolewa.
 Meli ya KMKM ikiranda Baharini kuokoa watu waliokuwamo katika Boti hiyo.
 Mmoja kati ya watoto waliookolewa akisindikizwa.
 Baadhi ya watalii wazungu waliokuwa katika Boti hiyo waliookolewa.
 Askari wakibeba mwili wa mmoja kati ya waliofariki katika ajali hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiwa na Viongozi Wakuu wa Serikali alipofika katika Ofisi za Shirika la Bandari, Malindi Unguja kupata taarifa sahihi ya ajali hiyo jana ya Meli ya MV Sky Get ikitokea Dar es Salaam kuelekea Unguja.Picha na Ramadhan Othman,IKulu.

No comments :

Post a Comment