Meneja wa Bia ya Ndovu special Malt Pamela Kikuli akizungumza na wadau
mbalimbali waliofika kushuhudia uzinduzi wa muonekano mpya wa bia hiyo
katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam-Kushoto na kulia ni
miongoni mwa wadau wa bia hiyo nchini
Wadau
mbalimbali na baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha bia nchini Tlb
wakitaza sehemu ya mabadiliko ya Bia ya Ndovu kwenye uzinduzi muonekano
mpya wa bia hiyo katika Hotel ya Serena jijini Dar Es Salaam ambapo bia
hiyo iliweza kutambulisha mabadiliko yaliyofanyika kwenye muonekano
wake huku ladha yake ikibakia kuwa ileile.Mabadiliko hayo yalifanyika
baada ya Ndovu kushinda Medali ya Pili ya juu kabisa ya Ubora duniani
ya Grand Gold Quality Medal ya Monder Selection
BALOZI MATINYI AHIMIZA WAFANYA BIASHARA KUSHIRIKI MAONESHO ALGERIA
-
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, akipatiwa maelezo
ya namna kampuni ya Riad Hanieth Food Supplies ya Jordan yenye tawi lake
nchi...
2 days ago
No comments :
Post a Comment