Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, July 19, 2012

SHUGHULI MBALIMBALI ZA MHE RAIS KIKWETE LEO IKULU



Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma ujumbe aliopewa  na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundiu  Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi leo July 19, 2012  Ikulu  jijini Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Askofu Elisha Buberwa wa Kanisa la KKKT, Kagera, aliyefika kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalum toka kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi uliowasilishwa na Mjumbe Maalum wa  Rais wa Burundi Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi, Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mjumbe Maalum Mhe Mohamed Rukara ambaye pia ndiye Ombudsman wa Burundi aliyemletea 
  ujumbe toka kwa Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi leo. Kushoto ni Balozi wa Burundi nchini Tanzania Mhe Issa Mtambulka na kulia ni Afisa mwandamizi wa Serikali ya nchi hiyo.
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza  Askofu Elisha Buberwa wa Kanisa la KKKT, Kagera, aliyefika kumtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais na Mtendaji Mkuu wa Shirika lisilo la Kiserikali la Pathfinder International alipomtembelea Ikulu jijini Dar es salaam leo July 19, 2012

PICHA NA IKULU

No comments :

Post a Comment