Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00

Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, July 13, 2012

SIMBA BINGWA KOMBE LA UJIRANI YAIBAMIZA AZAMU KWA MATUTA

Mshambuliaji wa Simba, Abdalah Juma akimiliki mpira mbele ya  mchezaji wa Azam FC, Wandwi Jackson katika mchezo wa fainali ya kombe la Ujirani Mwema unaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Mpaka sasa ni mpumziko na timu hizo zimefungana 1-1. (Picha na Habari Mseto Blog.

 Kikosi cha Simba kilichoanza
 Kikosi cha Azama kilichoanza.
 Mshambuliaji wa Simba, Abdalah Juma akimiliki mpira mbele ya  mchezaji wa Azam FC, Wandwi Jackson katika mchezo wa fainali ya kombe la Ujirani Mwema unaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam. Mpaka sasa ni mpumziko na timu hizo zimefungana 1-1. (Picha na Habari Mseto Blog.

No comments :

Post a Comment