Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Friday, July 13, 2012

TIGO YAWAKUTANISHA WANAMITANDAO YA KIJAMII BLOGGERS


 

Wanamitandao wakiwa kazini kutoka kulia walioshika Camera ni Josephat Lukaza wa Lukaza blog, Zainul Nzige wa Mo Blog na Rajabu Mhamila  Super D wa Burudanblog wakiwajibika.

Baadhi ya Wamiliki wa Mitandao mbali mbali nchini wakiwa kwenye picha ya Pamoja wakati wa Tafrija Fupi iliyoandaliwa na Kampuni ya simu za Mkononi Tigo ambapo ilikuwa na lengo la  kufahamiana na kujenga mahusiano, Hafla hiyo imefanyika kwenye hoteli ya Kebbys Mwenge jijini Dar es salaam usiku huu.
Wakwanza kulia ni Seif Kabelele mmiliki wa Mtandao wa Kabelele Blog, Miss Popural wa Popuralblog na Othman Michuzi wa Mtaa kwa Mtaa na Michuziblog wakishoo Love.
Kulia ni PR Agencies wa Tigo kutoka Trinity  na kushoto ni wadau wa Mitandao(Bloggers) wakipozi kwa picha
Baazi ya ma blogel wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa tafrija hiyo leo
Katikati ni  Philemon Solomon mpiga picha wa Fullshangweblog kulia ni Zainul Mzige wa Mo Blog akifurahia katika tafrija hiyo na mdau wa Radio One.
Wanamitandao wakiwa kazini kutoka kulia walioshika Camera ni Josephat Lukaza wa Lukaza blog, Zainul Nzige wa Mo Blog na Rajabu Mhamila wa Burudanblog wakiwajibika.
Meneja wa Huduma Za Mitandao kutoka kampuni ya Tigo akifafanua jambo kwenye Tafrija hiyo ambapo alielezea urahisi wa kupata vifurushi vya Tigo vya kuweza kuperuzi huduma mbalimbali za kijamii katika mtandaao

No comments :

Post a Comment