Tangazo

Sikiliza kipindi cha michezo kutoka CAPITAL RADIO kilasiku 21:00


Viwanjani%20%28Maximo%29
Quantcast

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI

TANGAZO LA UPATIKANAJI WA VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI
VIFAA VYA MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA DVD ZA MAFUNZO SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D' Photojournalist at Majira, Business Times Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

Thursday, July 12, 2012

Unganisha intanet katika simu yako na Tigo jamaa

Taarifa kwa vyombo vya habari

 
Unganisha intanet katika simu yako na Tigo jamaa

12 June, 2012, Dar es Salaam.. Huduma ya intanet katika simu za mkononi zinampa mtumiaji fursa ya kuwa karibu na ulimwengu sehemu yoyote wanayopenda. Ili kuwapa fursa na wengine katika kufurahia vifurusha vya intanet , Tigo imetayarisha “ timu ya Tigo jamaa’ itakayotembelea maeneo mbalimbali jijini Dar es salaam kwa kipindi cha wiki moja, ili kusaidia wateja kuunganisha intanet katika simu zao.

 “Tunataka kuongeza uwezo wa wateja wetu katika matumizi ya intaneti  nakuwaunganisha na mtandao” alisema Alice maro, Afisa uhusiano Tigo.


Ili kuwafikia wateja wake kwa urahisi wahudumu wa Tigo watakuwa katika baadhi ya maeneo ya barabara wakitoa huduma  kwa siku 4 kuanzia tarehe 13- 20 july kama ifuatavyo13th July – Ustawi, Africa sana, Kijiweni and Shekilango.  14th July- Kawe, Mikocheni, Kinondoni and Magomeni19th July – Mbagala, Mtoni, Kurasini20th July- Mtoni, Tandika, Temeke, Chang’ombe

Wateja wanaweza kuendelea kupata taarifakupitia matangazo yetu au ukurasa wetu wa Tigo Tanzania facebook.

Kuhusu Tigo:

Tigo ni mtandao wa simu za mkononi ya kwanza Tanzania, ilianza biashara mwaka 1994 na ni mtandao wa simu Tanzania wenye ubunifu wa hali ya juu na bei nafuu kupita zote nchini. Tigo ni sehemu ya MillicomInternational Cellular S.A (MIC) na hutoa huduma za simu za mkononi kwa gharama nafuu na inayopatikana maeneo mengi kiurahisi kwa wateja zaidi ya milioni 30 katika masoko 13 yanaoibuka Afrika na Amerika ya Kusini.

Msingi wa mafanikio ya Tigo ni uzingatiaji wa mikakati mitatu ambao,ni Gharama nafuu, Uwepo na  Upatikanaji. Tunajenga dunia ambapo huduma za simu ni za bei nafuu, zipo na zinapatikana kila mahali na kwa wote. Hii inahakikisha kwamba wateja wetu wanapata huduma bora zaidi kwa bei nafuu kuliko zote katika mikoa yetu 26, Tanzania Bara na Zanzibar.

Kwa taarifa zaidi tembelea: www.tigo.co.tz

Imetolewa na:
Alice Maro • PR-Tigo  • Simu 255 715 554501

No comments :

Post a Comment