Pichani juu na chini ni Kepteni wa timu ya Bongo Flava Msanii wa muziki wa kizazi kipya H-Baba akiwafua wachezaji wenzake. Chanzo;MO BLOG
Kikosi cha Bongo Flava kilichouwawa timu ya Bongo Movie.
Kikosi cha timu ya Bongo Movie katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa gemu.
Wachezaji wa akiba wa timu ya Bongo Movies.
Timu hizo zikimenyana uwanjani.
Wachezaji na mashabiki wa timu Bongo Movies wakifurahia baada ya kupata ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Bongo Flava.