Wachezaji
wa timu za Mwananchi FC na Mwananchi Queens zote za kampuni ya
Mwananchi Communications Limited (MCL), wakifuatilia mjadala wa Wizara
ya Kazi na Ajira Bungeni, Dodoma jana. Timu hizo zipo mjini Dodoma kwa
ajili ya michezo ya kirafiki na timu za Wabunge iliyofanyika leo kwenye
Uwanja wa Jamhuri. Timu hizo (football) zilitoka sare kwa 1-1!
Picha na Emmanuel Herman
No comments :
Post a Comment