Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro katikati akikata utepe kuashilia uzinduzi wa Diamond Trust Bank Mbeya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Habbas Kandoro katikati akiwa na Maofisa wa Bank hiyo baada ya uzinduzi
Maendeleo kama haya, yanatakiwa, kwa kuwawezesha wanajamii wa mbeya kupata huduma ya kuhifadhi fedha zao kwa usalama, na kupata mahitaji mengineyo kupitia benki kama hii. Tunawapongeza hii benki na iendeleze changamoto yake kwa kuongeza kufungua matawi mengineyo katika mikoa mingine pia, kuwawezesha wananchi kupata huduma kwa urahisi zaidi. Asante!
Maendeleo kama haya, yanatakiwa, kwa kuwawezesha wanajamii wa mbeya kupata huduma ya kuhifadhi fedha zao kwa usalama, na kupata mahitaji mengineyo kupitia benki kama hii.
ReplyDeleteTunawapongeza hii benki na iendeleze changamoto yake kwa kuongeza kufungua matawi mengineyo katika mikoa mingine pia, kuwawezesha wananchi kupata huduma kwa urahisi zaidi.
Asante!