Mwanamuziki wa Taarabu Hafua Suleiman akifanya vitu vyake katika miondoko ya mitikisiko ya pwani na kundi zima la Melody Picha na Rajabu Mhamila. Kundi la Melody likifanya vitu vyake katika ukumbi wa DDC Kariakoo Picha na Rajabu Mhamila.Mwanamuziki wa Taarabu Husna Omary akifanya vitu vyake katika onyesho la MElody lililofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo Dar es Salaam.Picha na Rajabu Mhamila a.k.a Super D
No comments:
Post a Comment