Sunday, August 2, 2009

EXTRA YAJIFUA NA JIMBO MPYA

Wanenguaji wa bendi ya muziki ya Extra Bongo ikiongozwa na mwimbaji nguli Alli Choki wakiwa kwenye mazoezi makali ya nyimbo mpya za bendi hiyo Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment