Friday, August 7, 2009
TAIFA STARS KUMEKUCHA
Wachezaji wa timu ya Taifa watoto wa Maximo wakijifua kwenye mchanga jana asubuhi kwenye Uwanja wa karume Dar es Salaam kwa ajili ya mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Rwanda hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment