Bondia Christopher Kisinini wa uzito wa juu (Heavyweight) akiwa na meneja wake aliyeketi kulia toka Odyssey International LTD Spiros Hussein Palasli. Bondia Kisinini ambaye amerejea toka Afrika kusini alipokuwa amejichimbia kwa kupata mafunzo ya mchezo huo wa masumbwi, ametamba sasa anataka kuzichapa na Awadhi Tamimu au AShrafu Suleimani.
No comments:
Post a Comment