Monday, September 7, 2009

VODACOM NA FAIDIKA

Mkuu wa Masoko wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom,Bw.Ansi Mmasi (kushoto) akimwonesha simu ya watu Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Faidika ,Bi.Marion Moore,wanashughulika na utoaji wa mikopo wakati wa uzinduzi wa utoaji mikopo kwa wafanyakazi wa Serekalini Dar es Salaam jana kupitia vodacom na FAIDIKA.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments:

Post a Comment