Sunday, September 6, 2009

ZAIN WASAIDIA WAUZA MAGAZETI


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Wiliam Lukuvi (kushoto) akiangalia magazeti kwa Bi, Mary Kihene baada ya kukabidhiwa matololi hayo yaliyotolewa na Kampuni ya simu za Mkononi ya Zain wa pili kushoto ni Ofisa Bihashara Mkuu wa Kampuni hiyo Bw.Churuyi Walingo.(Picha na Rajabu Mhamila)Baadhi ya wauzaji wa Magazeti wakiwa na matoroli ya kuuzia magazeti mara baada ya kukabidhiwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Zain Dar es salaam.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments:

Post a Comment