Katika kuhakikisha mchezo wa mpira wa Meza unakuwa hapa Nchini Chama cha mchezo huo TTTA kipo kwenye mchakato wa kujenga Meza kwa kutumia Saruji katika Shule za msingi za hapa Nchini ili kuukuza mchezo huo. Akizungumza na kipindi cha michezo cha Radio Times fm Katibu Mkuu wa chama cha mpira wa Meza Tanzania Issa Mtaraso amesema mbali na jitihada hizo ambazo wanazo lakini wapo katika mikakati ya kushiriki mashindano mbalimbali Nje na ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment