
Meneja wa Habari Mahusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti, Teddy Mapunda (kulia) akimkabidhi Vifaa vya michezo vyenye thamani ya laki 8, Mwenyekiti wa Standard News Papers (TSN) Sports Club, Nasongelya Kilyinga, Dar es salaam kwa ajili ya mashindano mbalimbali yanayowakabili anae shuhudia katikati ni Mjumbe wa Club hiyo, Abdallah Msuya.(PIcha na Rajabu Mhamila)
No comments:
Post a Comment