Thursday, November 5, 2009

MAJIMAJI YAICHAPA MORO UNITED - LIGI KUU

Ligi kuu Tanzania Bara imeendelea tena leo kwa mchezo mmoja ambapo timu ya Majimaji imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-2 dhidi ya timu ya Moro United.
Kufuatia ushindi huo kunaifanya Moro United sasa kujikusanyia jumla ya pointi 18 ikilingana na Yanga na Mtibwa Suger.Mchezo ulikuwa wa kashkashWANAUME KAZINI

No comments:

Post a Comment