Saturday, December 5, 2009

AFRICAN LYON NA MORO WAJIPIMA

Mlinzi wa timu ya African Lyon Husseni Mzungu (kushoto)akiambaa na mpira huku wachezaji wa Moro United Omega Seme na Erick Mawala wakijitahidi kumzuia wakati wa mchezo wa timu ya Vijana chini ya miaka 20 mchezo uliofanyika Uwanja wa Karume Dar es Salaam.Moro ilishinda mabao 4-2.

No comments:

Post a Comment