Thursday, December 31, 2009

MAMA YAKE AMANI MISANA NA DJ JUICE AZIKWA LEO

Amani Misana mwenye tisheti nyekundu Mtangazaji wa Radio Times akitoka katika kaburi baada ya kumlaza mama yake katika mwandani wa mapumziko ya milele katika makaburi ya Magomeni Jijini Dar es Salaam, Bi Asia ambaye nini Mama wa Amani Misana na Hussein Juma (DJ JUICE) ambao ni wafanya wa Radio TIMES FM, Alifariki jana mkoani TangaNdugu, Jamaa, Marafiki na Wafanyakazi wa Radio Times FM wakisaidia shughuli ya mazishi ya Mama yake Amani Misana mtangazaji wa Radio wa Times FM pamoja na DJ Juice.Amani Misana Mwenye tisheti nyekundu akishudia ndugu jamaa marafiki na watangazaji wa Radio Times Fm wakilihifadhi vema kaburi la mama yake, Bi Asia.Shekhe Akisoma Talakini mara baada ya mazishiEEEH MWENYEZI MUNGU ILAZE ROHO YA MAMA YETU ASIA MAHALA PEMA PEPONI AMINA!!!

No comments:

Post a Comment