Sunday, December 27, 2009

MITIKISIKO NA NGOMA CHINI ILIVYOITEKA DAR

Kundi la OFFSIDE TRICK likikamua katika onyesho la Mitikisiko na Ngoma chini lililoandaliwa na wafanyakazi wa Radio Times FM, na kufanyika katika ukumbi wa Traventine Magomeni.Hawa ni mashabiki wa Mduara wa kilicheza goma la "Poole samaki poole"Wanamvyo mla jichoWanavyo mgeuza geuzaIsha Ramadhani na mama yake walifunika ile mbaya na Mama nipe radhiEast African Melody ndiyo walikuwa wameshikilia usukani wa Burudani

No comments:

Post a Comment