
Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo, George Mkuchika (kulia), akimkabidhi bendera ya taifa nahodha wa timu ya taifa ya netiboli (Taifa Queens), Jackline Sikozi, ambayo inatarajiwa kwenda kushiriki michuano ya kimataifa itakayozishirikisha nchi sita toka Desemba 6 hadi 12 mwaka huu huko Singapore.
No comments:
Post a Comment