
Meneja Uendeshaji wa Kampuni ya MultiChoice Tanzania,Bw. Ronaldo Baraka,(kushoto) Mkurugenzi wa Utumishi Kampuni ya Zain Bi. Perece Kirigiti na Meneja Masoko wa Zain Bw. Costantine Magavilla kwa pamoja wakionesha vipeperushi vya muungano wa Kampuni hizo Dar es salaam katika kutoa huduma za kulipia DSTV.(Picha na Rajabu Mhamila)
No comments:
Post a Comment