
Waziri wa Maji na Umwagiliaji wa Tanzania, Prof Mark Mwandosya (kushoto) akibadilishana hati za mkataba wa kuchimbiwa visima 70 na Waziri wa Maji wa Misri, Bw. Mohamed Allan wakati wa Mahadhimisho wa mkutano wa kumi wa Ushirikiano wa Nchi zinazozunguka Bonde la Mto Nile Dar es salaam.(Picha na Rajabu Mhamila)
No comments:
Post a Comment