Thursday, December 24, 2009

ZAIN WAPATA MSHINDI WA TOYOTA HILAX

Meneja Masoko wa Kampuni ya Zain Bw.Costantine Magavilla (kushoto) akibonyeza kitufe Dar es salaam, kwa ajiri ya kumpata mshindi wa gari aina ya Toyota hilux katika promosheni ya 'ongea Uzawadiwe' inayoendeshwa na kampuni hiyo kulia ni Msimamizi kutoka bodi ya michezo ya kubahatsha Bw.Bakari Maggid.(Picha na Rajabu Mhamila)

No comments:

Post a Comment