Wednesday, May 25, 2011

KAMPUNI YA SIMU TANZANIA TTCL YAZINDUA BODI MPYA YA WAKULUGENZI





Bodi Mpya na yazamani ikiwa katika picha ya pamoja leo


Waziri wa Mawasiliano,Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa kulia akizungumza na Mwenyekiti mpya wa bodi ya Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Dkt. Enos Bukuku





wajumbe wapya na wazamani wakijadiliana baada ya kuzinduliwa bodi mpya






bodi mpya




Waziri wa Mawasilino,Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa akimpongeza Mwenyekiti mpya wa bodi wa Kampuni ya Simu Tanzania TTCL Dkt. Enos BUkuku katikati ni Said Amir Said









MTENDAJI MKUU SAID aMIR SAID akitambulisha bodi Mpya
























AMANDA LUHANGA AKIWA NA KAMERA YAKE KWA AJILI YA KUCHUKUA MATUKIO MBALIMBALI









No comments:

Post a Comment