Thursday, May 12, 2011

LAP TOP NA BLACKBERRY KUTOLEWA KATIKA PROMOSHENI YA ZARI SMS YA ZANTEL






Kaimu Meneja Masoko wa Zantel Bw.Brian Karokola akiwa
ameshikilia laptop iliyounganishwa na huduma ya intaneti ambayo ni
moja ya zawadi zitakazotolewa kwenye promoshen mpya ya Zantel iitwayo
ZARI SMS iliyozinduliwa Dar es Salaam
Kaimu Meneja Masoko wa Zantel Bw.Brian Karokola akiwa
ameshikilia simu aina ya Blackberry ambayo ni moja ya zawadi
zitakazotolewa kwenye promoshen mpya ya Zantel iitwayo ZARI SMS iliyozinduliwa Dar

No comments:

Post a Comment