Thursday, May 19, 2011

MAANDALIZI YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA







Shughuli nzima ya leo ilikuwa ni kukamilisha utengenezaji wa video mpya inayokwenda kwa jina la Miaka 50 ya Uhuru. Audio ya wimbo huo umetengenezwa pale Fishcrab chini ya mtu mzima Lamar, video imetengenezwa na Adam Juma kutoka Visual Lab Next Level.





Wasanii walikuwa wengi sana siwezi kuwataja wote ila utawagundua kwa sura na majina nitakayoyaweka chini ya picture.




Godzilla kutoka Salasala




Mbunifu wa mitindo anayejulikana kwa jina la Vida Mahimbo, tishet zote nyeupe mnazoziona yeye na Ally ndio wamezitendea haki.




Keisha akiwa kwenye tabasamu pala sana




Madee akilisikilizia jua maana lilikuwa linapiga




Fella meneja wa Wanaume TMK Family akiwa na Mwana FA wakibadilishana mawazo






Kampuni ya Visual Lab ikiwa kazini







Dullah wa Planet Bongo nae alikuwepo na crew yake nzima kutoka EATV




Dully na Arafat Ngumi Jiwe






AY




Fid Q




Kassim Mganga




Amin kutoka THT










Mr. Blue na watatu ni Shetta pamoja na Diamond








Ally Rehmtullah mbunifu wa mavazi




Mpoto na Vida










Mwana FA & Rehema




























No comments:

Post a Comment