Tuesday, November 8, 2011

Kundi jipya la Kizazi cha Raggae "UPL Crew", waja na 'RASTAMAN'




Habari Wadau Wa Muziki Wa Tanzania !
Leo Nalitambulisha Crew Mpya Wa Muziki Wa Kizazi Kipya Cha RAGGAE....

CREW Name ; UPL CREW (United By PEACE and LOVE)
Song : RASTAMAN


Ni Nyimbo Mpya Kabisa Tunahitaji Support Kubwa Sana Kutoka Kwenye !!

No comments:

Post a Comment