Tuesday, December 13, 2011




Bondia Amir Khan apoteza mikanda yake ya ubingwa





Lamont Peterson baada ya kuvalishwa mikanda yote miwili kwa kumdunda Amir Khan



Bondia Amir Khan akipata kichapo toka kwa Lamont Peterson mpaka sasa Amir Khan ameshapoteza game 2, kanyanganywa mikanda yote aliyokuwa nayo ya Light walter 140pound = 63.5 kg, mikanda ya WBA, IBF na WBO

No comments:

Post a Comment