Sunday, January 15, 2012

WANAFUNZI WA VYUO VIKUU DAR ES SALAAM WAKATANISHWA KATIKA BONANZA LA TIGO

Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya UDSM ,Simba Kilumbi akitafuta jinsi ya kumtoka mchezaji wa chuo cha IFM wakati wa bonanza la vyuo vikuuu Dar es salaam jana

Wachezaji wa Netbol wa chuo cha IFM wakipasha misuri moto kabla ya kuingia uwanjani

Mchezaji wa timu ya mpira wa kikapu ya UDSM ,Simba Kilumbi akitafuta jinsi ya kumtoka mchezaji wa chuo cha IFM wakati wa bonanza la vyuo vikuuu Dar es salaam jana

No comments:

Post a Comment