Thursday, February 9, 2012

ROSE MHANDO ALAMBA BINGO , KUREKODI NYIMBO AKISIMAMIWA NA KAMPUNI YA SONY



Rose Mhando ambaye ni muimbaji wa muziki wa Injili katikati akizungumzana waandishi wa habari katika mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam akiwa amepenya katika mchujo wa wanamuziki zaidi ya 100.

No comments:

Post a Comment