Tuesday, February 28, 2012

WASHINDI WA SHINDANO LA ZAMU YAKO KUSHINDA WA KAMPUNI YA TIGO WAZAWADIWA

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya tigo, Alice Maro kushoto
akikabidhi zawadi kwa mshindi wa lap top ,Flora Lyimo baada wa kuiibuka mshindi
wa promosheni ya zamu yako kushinda anaeshuudia katikati ni Mratibu wa
Promosheni na Matukio wa Kampuni ya tigo,Edward Shila
Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Tigo, Alice Maro kushoto
akikabidhi mfano wa hundi kwa Fidelis Mosha baada ya kuibuka mshindi wa
promosheni ya zamu yako kushinda katikati ni Mratibu wa Promosheni na Matukio wa
Kampuni ya tigo, Edward Shila
Baadhi ya washindi wa promosheni ya zamu yako
kushinda inayoendeshwa na kampuni ya tigo wakiwa wameshika mfano wa hundi baada
ya kukabidhiwa leo

No comments:

Post a Comment