Sunday, March 4, 2012

BANDARI MABINGWA LIGI DARAJA LA PILI NETBOL





Mbunge wa Temeke Abas Mtemvu (kushoto) akimkabidhi kikombe cha ubingwa wa ligi hiyo Nahodha wa timu ya Bandari ya Dar es salaam,Judith Ilunda baada ya kuibuka mabingwa Dar es salaam leo

Mwenyekiti wa Bandari Sports akiwa na kombe la ubingwa


MFUNGAJI BORA WA MAGORI MATELENA MHAGAMA AKISALIMIANA NA WAGENI WAALIKWA

WABUNGE WAKIWA MAKINI KUANGALIA MPAMBANO WA NETBOR LIGI DARAJA LA PILI KUTOKA KUSHOTO NI MERRY MWANJELWA,ABBAS MTEMVU NA IDDI AZANI

No comments:

Post a Comment