Saturday, March 17, 2012

RAMADANI SHAULI, GABRIEL OCHIANG WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO KESHO

Mabondia Ramadhani Shauli wa Tanzania (kushoto)
na Gabliel Ochiang wa Kenya wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito, Dar es
salaam LEO kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika KESHO katika ukumbi wa friens
Coner Manzese.
Bondia Ramadhani Shauli akipima uzito kwa ajili ya
mpambano wake na Gabriel Ochiang wa Kenya kulia

Mabondia Ramadhani Shauli wa Tanzania (kushoto)
na Gabliel Ochiang wa Kenya wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito, Dar es
salaam LEO kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika KESHO katika ukumbi wa friens
Coner Manzese.

Baadhi
ya mabondia pamoja na viongozi wa mchezo wa ngumi wakiwa katika picha ya pamoja
baada ya kupima uzito leo
Bondia Gabriel Ochiang wa Kenya akipima uzito kwa
ajili ya mpambano wake na Ramadhani Shauli kushoto

No comments:

Post a Comment