Sunday, March 4, 2012

SIMBA YAIBANJUA TIMU YA KIYOVU YA RWANDA 2-1








Wachezaji wa timu ya Simba Emmanuel Okwi na Felix Sunzu wakishangili mara baada ya mchezaji Felix Sunzu kufunga goli la pili kati ya magoli mawili aliyofunga


Timu zikiingia uwanjani kabla ya kuanza kwa mchezo huo jioni hii.


Mashabiki wa Simba wakishangilia kwelikweli wakati timu hizo zikicheza.


Kulikuwa n a kila shamrashamra kwa mashabiki wa Simba kama unavyowaona katika picha.


Hii inaashiria kwamba kama matokeo yatakuwa hivihivi mana yake ni kwamba Simba itaendelea kukwea Mwewe yaani Ndege kwa ajili ya kushiriki raundi ya pili ya michuano hiyo

PICHA NA HABARI ZAIDI TEMBELEA http://www.fullshangweblog.com/

No comments:

Post a Comment