Wednesday, March 14, 2012

TABORA MARATHON 2012 YAFANA

Baadhi ya pikipiki zilizotumika katika mbio za
Tabora Marathon hapa kabla ya mbio kuanza. (Picha Zote kwa hisani ya Kamati ya
Tabora Marathon 2012).
Pichani kulia ni Mshauri wa Ufundi wa Mbio za
Tabora Marathon ambaye pia ni Mhariri wa Habari za Michezo Gazeti la Tanzania
Daima Tulo Chambo na kushoto ni Meneja Masoko Kampuni ya Kishen Enterprizes pia
wasambazaji wa pikipiki za aina ya TOYO Seraphine Baraka .
Washindi wa Mbio za Tabora Marathon wakiwa
katika picha ya pamoja hapa wako katika eneo linalofahamika kama Community
Centre sehemu iliyomtoa machozi Rais wa Kwanza wa Tanzania wakati akidai uhuru
kutoka kwa wakoloni ambapo pia pamejengwa Sanamu ya kumbukumbu ya Hayati Baba wa
Taifa Mwalimu Julius Nyerere.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora
Fatma Mwassa akizungumza kabla ya kutoa zawadi

No comments:

Post a Comment