Friday, March 16, 2012

TENGA AZUNGUMZIA VURUGU ZA MASHABIKI WA SOKA UWANJA WA TAIFA

Rais wa TFF Bw Leodgar Tenga akiongea na
waandishi wa habari leo makao makuu ya Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF
jijini Dar es salaam kuhusiana na vurugu zilizojitokeza katika uwanja wa Taifa
nakusababisha uharibifu wa viti katika uwanja huo, Tenga ametoa onyo kali kwa
mashabiki kuhusiana na vurugu hizo na kuwaahidi wadau wa michezo kuwa hakuna
vurugu zingine zitakazotokea tena. Kushoto ni Msemaji wa Shirikisho la mpira wa
miguu Tanzania (TFF) Bw. Boniface Wambura (PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA
FULLSHANGWE)
Waandishi wa habari
wakimsikiliza rais wa TFF Leodger Tenga wakati wakizungumzia vurugu za uwanja wa
Taifa leo.

No comments:

Post a Comment