Friday, April 13, 2012

BENKI YA AKIBA YAZINDUA HUDUMA YA UBORESHAJI WA MUONEKANO WA MAKAZI KWA WATEJA WAKE




Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Akiba wakiwa katika picha ya pamoja baada ya uzinduzi wa



uboreshwaji wa makazi kwa wateja wa benki hiyo leo Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano Bi. Mary Mbelle akizungumza kabla ya mgeni rasmi kushoto ni Meneja Mkuu wa Biashara Bw. Salehe Ramadhani na Mkurugenzi Mtendaji Bw. John Lwande






Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Akiba Bw. John Lwande kulia akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uzinduzi wa uboreshwaji wa muonekano wa makazi kwa wateja wa benki hiyo kushoto ni Meneja Mkuu wa Biashara Bw. Salehe Ramadhani






PICHA YA PAMOJA YA WAFANYAKAZI WA BENKI AKIBA











meej Mku wa Biashaa waBekiya Aib Bw. Saeh Ramahani akifafanua jambo









Baadhi ya Maofisa wa Benki hiyo wakiwa katika mkutano huo leo

No comments:

Post a Comment