Warembo
wa Redds Miss Ukonga katika kambi yao ya mazoezi iliyopo Ukonga Hill
Tech Bar maeneo ya Minazi Mirefu au maarufu Banana wakiwa kwenye mazoezi
ya pamoja kujiandaa na siku ya fainalijumamosi hii 05/05/2012 ambapo
mshindi anatarajiwakuungana na washindi toka vitongoji vingine
watakutana katika Kambi ya Redds Miss kanda ya Ilala kabla ya kwenda
kushiriki shindano la taifa la Redds Miss Tanzania 2012.
MAONESHO YA UTALII NA UWEKEZAJI ZANZIBAR; FURSA KWA WANANCHI KUJUA VIVUTIO
VYA UTALII VILIVYOPO NGORONGORO
-
Na Mwandishi Wetu, Dimani, Fumba Zanzibar
Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) imeshiriki kwa mafanikio
katika Maonesho ya Pili ya Utalii na U...
11 hours ago
No comments :
Post a Comment