Thursday, May 10, 2012

TAIFA QUEENS YAFUNGWA 34-30 UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM



 Mchezaji wa timu ya Taifa ya Netboli (Taifa Queens), Mwanaidi Hassan akijaribu kufunga wakati mabeki wa Malawi wakimzuia wakati wa mchezo wa mashindano ya Afrika yanayoendelea Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
Mwanaidi akifunga

No comments:

Post a Comment