Friday, June 22, 2012

MDAU Happy Katabazi ACHAPA KAZI AKIWA BRAZIL



Happiness Katabazi (katikati)nikiwa na Wanadiplomasia toka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,katika hoteli ya Mar Palace kitongoji cha Capo Cabana jijini Rio da Janeiro,Brazil muda mchache uliopita.Tunaishi katika hoteli hii tangu tufike hapa kuudhulia mkutano wa Rio +20 uliomilizika leo. Kushoto ni Pangipita na kulia kwangu ni Sangelael Shilla

No comments:

Post a Comment