Walimu wagoma, wengine waukataa, waendelea na kazi
Mwalimu
wa Shule ya Msingi Mnazi Mmoja, Salma Mtili akisahihisha daftari
la mwanafunzi wa darasa la nne wa shule hiyo, licha ya Rais wa Chama cha
Walimu Tanzaniza (CWT), kutangaza mgomo wa walimu nchi nzima. (Picha
zote na Mseto Blog)
Mwalimu
wa Shule ya Msingi Mnazi Mmoja, Salma Mtili akiangalia kazi kwenye
daftari la mwanafunzi wa darasa la nne wa shule hiyo, licha ya Rais awa
Chama cha Walimu Tanzaniza (CWT), kutangaza mgomo wa walimu wote nchi
nzima.
No comments:
Post a Comment