Wednesday, August 8, 2012

MASHINDANO YA MBIO ZA SAFARI BAISKELI KANDA YA ZIWA YAFANA,WAUME KWA WANAWAKE WAJITOKEZA




  Baadhi ya washiriki wa mashindano  Safari  Baiskeli Kanda ya Ziwa ya wakijiandaa kuondoka kwenda Kahama na kurudi  katika Uwanja wa Kambarage ikiwa ni maadhimisho ya Siku Kuu ya Wakulima
 Wakijiandaa kuondoka kwenda Kahama na kurudi Shinyanga
 Wakijiandaa
 Wakiwa tayari kuondoka
 Hata wanawake pia wamo
 Kifuani wana namba maalumu za utambulisho

No comments:

Post a Comment