Thursday, September 6, 2012

SIMBA YACHAPWA GOLI 3.0


 Mshambuliaji wa Simba, Edward Christopher akitafuta mbinu za kumtoka beki  wa Sofapaka ya Kenya , Anthony Kimani katika mchezo wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Sofapaka ilishinda 3-0. (Picha na Dande Junior)

No comments:

Post a Comment