Pia kuhusu Dogo Janja kutoa Chorus za Tunda Man kwenye Nyimbo zake ,Tunda amesema jambo kama hilo linawezekana na tumeone wasanii wengi wakifanya hivyo.Beat za nyimbo zipo na sauti zake so ni kitu cha kufanya tu sio issue kubwa sababu huwezi ukasema nipo na TIPTOP Alafu unawatambulisha Watanashati.
IGP WAMBURA AMEPANGUA MAKAMANDA WATATU
-
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Camillus Wambura amefanya uhamisho wa
Makamanda watatu, ambao ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP)
George Kat...
5 hours ago
No comments :
Post a Comment