Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa
nchini(BASATA) Ghonche Materego(kushoto) akimkabidhi bendera ya Taifa Mrembo wa
Tanzania anaeshikilia taji la Miss Universe Winfrida Dominic, kwenye ofisi
za Baraza hilo jijini Dar es Salaam leo, mrembo huyo anaiwakilisha Tanzania
kwenye fainali za mashindano hayo nchini Marekani yanayotarajiwa kufanyika December 19 mwaka huu.
|
No comments:
Post a Comment